Wednesday, 14 March 2012

Afya Check na Dr. Isaac Maro.

Karibu sana katika blog hii mpya ambayo itakuletea mambo mengi kuhusu afya yako na kukujuza dalili,tiba na njia za kupunguza maambukizi ya magonjwa mbalimbali.karibu sana ndani ya Afya check na dr. Isaac Maro.

2 comments:

  1. Ahsante sana Dr. We hope utatupatia mambo mazuri zaidi.

    ReplyDelete
  2. Swali langu naomba kujua jinsi mimba ikitunga maumivu na mpaka inavyoendelea

    ReplyDelete