Tuesday, 20 March 2012

kampeni ya kifua kikuu Tanzania 2012

katika kuhakikisha Tanzania inakua huru kutokana na ugonjwa wa kuambukiza wa Tubercullosis (TB)/kifua kikuu,mpango wa taifa wa kudhibiti kifua kikuu na ukoma,waja na kampeni mpya 2012 isemayo "Nitatokomeza kifua kikuu kuanzia sasa na maisha yangu yote".Kampeni hii inaadhimishwa kwa mpango maalum wa kuwapima watanzania wengi katika vituo vingi vilivyo andaliwa mikoa tofauti tofauti katika siku tofautitofauti ambazo watanzania watatangaziwa kupitia vyombo mbalimbali vya habari.

No comments:

Post a Comment